Newspapers

Kenya Leo Newspaper of April 05,1985, Issue No. 664

Volume Ref: KL_1985_M034496

  • Rais Moi ashiriki kwenye shughuli maalum za kuwagawia wakulima katika sehemu mbali mbali mbegu za maharagwe katika harakati za upandaji ambazo zimekuwa zikiendelea tangu mvua ianze kunyesha.
  • WaKenya bado wangali wanakumbuka madhara yaliyosababishwa na hali ya ukame uliozikumba sehemy nyingi sana za nchi mnamo mwaka jana.

English Translation

  • President Moi to participate in special activities to distribute to farmers in different areas bean seeds in the planting movement that has been going on since the rains began.
  • Kenyans still remember the effects of drought that hit many parts of the country last year.