Newspapers

Kenya Leo Newspaper of April 06,1985, Issue No. 665

Volume Ref: KL_1985_M034496

  • Kamati za usimamizi za vyama vya shirika vya akiba na kutoa mikopo zimeshauriwa zisitumie pesa zaidi kwa sababu hali hiyo hufilisisha vyama hivyo.
  • Shauri hilo limetolewa na Afisa mkuu wa ushirika wilayani Uasin Gishu Bw. Wanyama Munoko. Alitoa wito mikopo ya dharura ipigwe darubini akisema kuwa wanachama wengine wanazo tabia za kutumia hila na udanganyifu wakiomba mikopo hiyo.

English Translation

  • Saccos are advised not to spend any more money because the situation bankrupts the parties.
  • The advice is provided by Chief corporate officer of Uasin Gishu district Mr. Wanyama Munoko. He called for emergency loans under telescope saying that some members have a tendency to use deception and fraud when applying for such loans.