Newspapers

Kenya Leo Newspaper of April 07,1985, Issue No. 667

Volume Ref: KL_1985_M034496

  • Mkurugenzi wa Shirika la Afya duniani (WHO) , anayesimamia bara la Afrika, Professa Gottlieb Lobe Monekosso, asisitiza haja ya malezi bora kwa watoto. Aliwakumbusha wazazi kuwa ni wenye jukumu zito sana la kuwalea watoto, maana wahitaji , elimu, chakula bora na mavazi , mbali na mahitaji mengineyo madogo madogo lakini muhimu sana.

English Translation

  • Director of the World Health Organisation (WHO) overseeing the African continent Professor Gottlieb Lobe Monekosso, stresses the need for better parenting. He reminded the parents that they have a very serious responsibility to raise children, for they need, education, good food and clothing, apart from other necessities small but very important.