Newspapers

Kenya Leo Newspaper of April 09,1985, Issue No. 668

Volume Ref: KL_1985_M034496

  • Bw Casto Mwai, afisa katika wilaya ya Taita-Taveta atoa wito kwa waajiri wasiwabague walemavu wakati wanapokwenda kutafuta kazi bali wawafikirie sawa na wale wanaojiweza. Alisema kwamba watu wasiojiweza wanaweza kushirikishwa kikamilifu katika shughuli za ujenzi wa taifa.

English Translation

  • Mr Casto Mwai, officer in the district of Taita-Taveta calls on employers not to discriminate against the disabled on time when they go looking for a job but think of them right as those who are self-sufficient. He said that disabled people can actively involved in nation-building activities.