Newspapers

Kenya Leo Newspaper of April 10,1985, Issue No. 669

Volume Ref: KL_1985_M034496

  • Rais Daniel arap Moi asema kwamba uhuru wa kuabudu hauwezi kudumishwa kama hakuna hali ya uthabiti na umoja. Alisema kwamba hata ingawa uhuru wa kuabudu unazingatiwa na katiba ya Kenya, inapaswa ieleweke kwamba uhuru huo hauwezi kuzingatiwa kama kuna hali ya mchafuko na wasiwasi.

English Translation

  • President Daniel arap Moi argues that freedom of worship cannot be maintained at all without a state of stability and unity. He said that even though freedom of worship is maintained by the constitution of Kenya, it should be understood that such freedom you cannot be considered when there is a state of confusion and anxiety.