Newspapers

Kenya Leo Newspaper of April 19,1985, Issue No. 678

Volume Ref: KL_1985_M034496

  • Mkuu wa wilaya ya Siaya, Bw. Cyrus Gitua amepiga marufuku shughuli zote za utafutaji dhahabu ambao umekuwa ukiendelea bila kibali, kwenye mto Yala na sehemu mbalimbali wilayani humo.
  • Amewaagiza machifu pamoja na manaibu wao wawasaidie polisi na maafisa wengine wa ulinzi katika juhudi cha kuwanasa wenye mashamba ambao wanawaruhusu watafutaji hao wa dhahabu kuendesha shughuli zao.

English Translation

  • District Commissioner of Siaya Mr. Cyrus Gitua has banned all gold mining activities which you have been going without permission, on the Yala River and in various parts of the district.
  • He has asked chiefs and their deputies help the police and other security officers in an effort to apprehend landowners who allow these gold miners to run their businesses.