Newspapers

Kenya Leo Newspaper of April 26,1985, Issue No. 685

Volume Ref: KL_1985_M034496

  • Waziri wa Afya, Bw. Peter Nyakiamo amaetoa wito kwa wananchi wawasaidie watu wasiojiweza. Waziri alisema kwamba watu kama hao ni wagonjwa amabao wanahitaji misaada ya kifedha ili kuokoa maisha yao. Alitoa hakikisho kwamba serikali itaendelea kujitahidi kuhakikisha kwamba wagonjwa wataendelea kupatiwa matibabu ya bure.

English Translation

  • Minister for Health , Mr. Peter Nyakiamo has called on the people to help the needy. The minister said that such people are sick who need financial assistance to save their lives. He gave assurance that the government will continue to strive to ensure that patients will continue to receive free treatment.