Newspapers

Kenya Leo Newspaper of June 05,1985, Issue No. 725

Volume Ref: KL_1985_M034496

  • Waziri wa Afya Bw. Peter Nyakiamo, atoa wito kwa wafanyikazi wa huduma za afya kote nchini wajitolee kikamilifu katika utekelezaji wa wajibu wao. Waziri alikuwa akihutubu katika hospitali kuu ya wilaya Kiambu alipokea vifaa vya kufanyia uchunguzi wa viini vilivyokabidhiwa hospitali hiyo na Labsystems Oy toka Finland.
  • Akiwasifu waliotoa msaada wa vifaa hiyo, alisema Finland imeisaidia sana Kenya katika shughuli za ustawishaji wa huduma za matibabu kupitia shirika lake la kimataifa la kutoa misaada Finnida.

English Translation

  • Minister for Health Mr. Peter Nyakiamo calls on healthcare workers across the country to be fully committed to fulfilling their responsibilities. The minister was speaking at the Kiambu district’s main hospital he received diagnostic kits donated to the hospital by Labsystems Oy from Finland.
  • While he praised the donors for the equipment, he said Finland has been instrumental in Kenya’s treatment development activities through its international organization for providing assistance Finnida.