Newspapers

Kenya Leo Newspaper of June 20,1985, Issue No. 740

Volume Ref: KL_1985_M034496

  • Rais Moi atangaza kwamba wanafunzi wote wa shule za msingi na za sekondari wanapasa kujiandikisha katika makundi ya vijana wadogo na vijana wapevu wa KANU ili kuimarisha umoja wa uzalendo.
  • Alisema kuwa viongozi wanapasa kuacha kuendeleza utaratibu wa kikoloni wa kugawanya watu ili kuwatawala kwa urahisi na waache kufuata maongozi ya wabeberu ya kujaribu kuwagawanya wanachi kulingana na makabila yao.

English Translation

  • President Moi announces that all primary and secondary school students must register in groups of young people and young adults of KANU to strengthen patriotic unity.
  • He said that leaders should stop perpetuating the colonial system of dividing the people to rule them easily and to stop following the imperial orders of the imperialists trying to divide the people according to their tribes.