Newspapers

Kenya Leo Newspaper of June 21,1985, Issue No. 741

Volume Ref: KL_1985_M034496

  • Mataifa ya Kiafrika yameshauriwa yatoe mafunzo ya taaluma ya kisayansi, ufundi na uanasheria ili kutumia kikamilifu utajiri wa kiuchumi katika chini ya bahari. Katibu wa Wizara ya Utalii na Hifadhi za Wanyama wa Porini, Profesa Peter Gachie alisema kwamba kufundisha wataalum na kuwapa ujuzi unaohitajika ni jambo la gharama kubwa.

English Translation

  • African nations have been advised to provide scientific, technical and legal training in order to make full use of economic wealth in the ocean floor. Secretary of Ministry of Tourism and Wildlife Conservation Mr. Professor Peter Gachie said that training professionals and giving them the necessary skills is a costly affair.