Newspapers

Kenya Leo Newspaper of May 04,1985, Issue No. 693

Volume Ref: KL_1985_M034496

  • Rais Moi asema kwamba jeshi lenye nidhamu ni kipawa kikubwa kwa taifa ambalo wananchi wake hujivunia na kujisikia salama.
  • Kadhalika Rais aliwataka wanajeshi wawe waaminifu kwa taifa lao na wamtegemee Mwenyezi Mungu kwa yote. Aliwahutubia maafisa wakuu wa kijeshi waliohitimu mafunzo ya mwaka mmoja katika chuo cha mafunzo ya kijeshi cha Lanet karibu na Nakuru.

English Translation

  • President Moi says that a disciplined army is a great gift to the nation which its citizens are proud of and feel safe.
  • The President also called on the military to be loyal to their nation and let them rely on God in all things. He addressed senior military officers who had completed a one-year training course in a military training college of Lanet near Nakuru.