Newspapers

Kenya Leo Newspaper of May 08,1985, Issue No. 697

Volume Ref: KL_1985_M034496

  • Wenye vibanda vya kuuzia vyakula mjini Nairobi waliopewa ilani ya masaa 24 na Tume ya mji wa Nairobi wabomoe vibanda vyao, wameamua kukiuka amri hiyo, na badala yake wamewapelekea wabunge wote wa Nairobi barua ya kutoa kilio chao kupinga uamuzi huo.

English Translation

  • Owners of food stalls in Nairobi who received a 24-hour notice from the commission of Nairobi city to demolish their huts, are determined to violate the order and instead they have sent all Nairobi MPs a letter expressing their grievances against the decision.