Newspapers

Kenya Leo Newspaper of May 10,1985, Issue No. 699

Volume Ref: KL_1985_M034496

  • Kanisa linasikitishwa na hali ya baadaye ya watoto ambao huwaandama mama zao gerezani kwa vile hujikuta wamekabiliwa na hali ngumu ya maisha gerezani.
  • Akihutubu juu ya “kanisa na mtoto” Siter Bahati alisema kuwa hali ya maisha kama hayo yanahitaji uangalifu mkubwa katika kuyakabiliana nayo.

English Translation

  • The church is concerned about the future of children who follow their mothers in prison since they find themselves in a difficult situation in prison.
  • Speaking on “church and child” Sister Bahati said that such living conditions require great care in dealing with them.