Newspapers

Kenya Leo Newspaper of May 13,1985, Issue No. 702

Volume Ref: KL_1985_M034496

  • Katibu mkuu katika Ofisi ya Rais Bw. James Mathenge asema , “serikali katika muda mfupi ujao itaanzisha sheria itakayohakikisha kwamba watoto wa madhehebu yote ya dini wanachanjwa kuzuia magonjwa na kupatiwa matibabu wanapokuwa wagonjwa”.
  • Alisema sheria hiyo itahakikisha pia kwamba watoto wote wanachanjwa na kudungwa sindano za kuzuia maradhi makubwa makubwa.

English Translation

  • Secretary-General in the Office of the President Mr. James Mathenge said “the government in the near future will introduce legislation that will ensure that children of all denominations are vaccinated to prevent disease and to get treatment when you are sick”.
  • He said the law would also ensure that all children are vaccinated and given injections to prevent serious illness.