Newspapers

Kenya Leo Newspaper of May 17,1985, Issue No. 706

Volume Ref: KL_1985_M034496

  • Rais Moi alisema amefadhaishwa na jinsi polisi wa traffic walivyoyanasa magari ya uchukuzi, jambo ambalo alisema liliwasababishia mateso watoto wa shule na wasafiri wengine mjini Nairobi. Akieleza vitembo hivyo kuwa vya kinyama ambavyo haviambatani na maongozi ya Nyayo, Rais Moi alisema hatua kama hiyo inapochukuliwa alazima zitawatatiza wanachi na akasema maafisa waliopewa jukumu la kutekeleza maa gizo ya serikali wanapaswa kutumia busara.

English Translation

  • President Moi he said he was shocked by how the traffic police caught transport vehicles, which he said caused suffering to school children and other travelers in the Nairobi city.
  • Describing the elephants as beasts that do not adhere to the Nyayo footprints, President Moi said such action should be a source of concern for the people and said officials those entrusted with the task of enforcing government directives must use discretion.