Newspapers

Kenya Leo Newspaper of May 31,1985, Issue No. 720

Volume Ref: KL_1985_M034496

  • Rufani iliyokatwa na watu kadha akiwemo Bw. Omolo Siranga, akitaka mahakama kuu iizuie kamati iliyoteuliwa na waziri wa Utamaduni na Huduma za jamii kusimamia shughuli za shirikisho la kandanda nchini (KFF) ilitupwa na mahakama kuu ya Nairobi.

English Translation

  • Appeal lodged by several persons including Mr. Omollo Siranga, wanting the high court to block a committee appointed by the minister of Culture and Social Services oversee federal activities of the country’s football federation (KFF) thrown out by the high court of Nairobi.