Newspapers

Kenya leo Septemba 04, 1984, Issue No. 454

Volume Ref: KL_1984_M010355

  • Kampuni ya ustawi wa maendeleo ya Ramogi Development Trust (RADET) iliyobuniwa majuzi na aliyekuwa makamu wa Rais Jaramogi Oginga Odinga imefutiliwa mbali.
  • Mara baada ya kubuniwa kampuni hiyo ilileta ubishi mkali kwamba ilikuwa ya ukabila.

See English translation.

  • A welfare development company of Ramogi Development Trust (RADET) recently invented by the former vice president Jaramogi Oginga Odinga has been deleted.
  • Soon after the company was created, it brought fierce controversy that it was tribal.