Newspapers

Kenya leo Septemba 05, 1984, Issue No. 455 – Copy

Volume Ref: KL_1984_M010355

  • Naibu Katibu Mkuu katika Ofisi ya Rais, Bw. Jonathan Birir, asema serikali inachunguza ni akina nani wanatoa nje siri za serikali.
  • Alisema wale wanaokwenda kinyume cha kiapo chao cha kutotoa nje siri ya serikali watakamaywa na akawataka watumishi wote wa serikali wahakikishe kuwa mambo ya afisini hayatolewi nje.

See English translation.

  • Deputy Secretary General, Office of the President Mr. Jonathan Birir said, the government is investigating who is leaking government secrets.
  • He said those who go against their oath not to reveal government secrets will be silenced and he asked all government servants make sure that office matters are not leaked.