Newspapers

Kenya leo Septemba 06, 1984, Issue No. 456

Volume Ref: KL_1984_M010355

  • Kiongozi wa mashtaka ya kijeshi, Meja Titus Githiora, alitaka mahakama kuu isiguse kabisa hukumu za askari tisa wa zamani wa jeshi la wanahewa lililovunjwa alisema kuwa hukumu hizo zinalingana na vitendo vya Agosti 1, 1982.
  • Pia alimwomba jaji anayesikiza rufani za askari hao wa zamani asiingilie hukumu za askari hao ambazo zilipunguzwa baada ya kufanyiwa uchunguzi na maafisa wakuu wa kijeshi.

See English translation.

  • Leader of the military prosecution Major Titus Githiora, wanted the Supreme Court not to touch the sentences of nine former soldiers of the disbanded air force saying that the sentences correspond to the actions of August 1,1982.
  • He also asked the judge who hears the appeals of the former soldiers he should not interfere with the sentences of those soldiers which were reduced after being investigated by senior military officers.