Newspapers

Kenya leo Septemba 07, 1984, Issue No. 457

Volume Ref: KL_1984_M010355

  • Lugha ya Kiswahili itakuwa somo la lazima kwa wanafunzi wote wa shule za sekondari wakati wa utekelezaji wa mpango mpya wa elimu wa 8-4-4.
  • Waziri wa Elimu,sayansi na Ufundi, Prof. Jonathan Nge’no alisema wizara yake inafanya kila juhudi kuikuza lugha ya Kiswahili.

See English translation.

  • The Kiswahili language will be a compulsory subject for all students of secondary schools during the implementation of the new program of education of 8-4-4.
  • Minister for Education, Science and Technology Prof. Jonathan Nge’no said his ministry is making every effort to promote the Kiswahili language.