Newspapers

Kenya leo Septemba 12, 1984, Issue No. 462

Volume Ref: KL_1984_M010355

  • Waziri mdogo katika Afisi ya Rais Bw. Isaac Salatt atoa onyo kuwa ,Serikali itawachukulia hatua kali machifu ambao hawatekelezi kazi ya serikali kama inavyowapasa, kwani imebainika kwamba wengine wao huenda kufanya kazi zao za kibinafsi, wakati wanapopasa kufanya kazi ya serikali.
  • Aliongeza kwamba ukosefu wa nidhamu na kutofanya kazi vizuri miongoni mwa machifu umeongezeka.
  • Aliwataka machifu wazembe wastaafu kabla hawajafutwa kazi na kazi zao kupewa watu wengine.

See English translation.

  • Junior Minister in the Office of the President Mr. Isaac Salatt gives a warning that, the government will take strict measures against the chiefs who do not perform the work of the government as they should because it has been found that some of them go to do their personal work when they have to do government work.
  • He added that lack of discipline and dysfunction among the chiefs has increased.
  • He asked the negligent chiefs to retire before they are dismissed they have been fired and their jobs given to other people.