Gazeti la Baraza la Desemba 21, 1978, Issue No. 2051
Volume Ref: BZ_1978_M006702
- Rais wa Kenya Daniel Moi atoa amri kwamba viwanda vya sukari katika mkoa wa magharibi vipanuliwe ili viweze kupokea miwa zaidi kutoka wakulima wa eneo hilo
English Translation
- The president of Kenya Daniel Moi gives an order for the expansion of the sugar factories in the western region to allow more sugarcane to be bought from the farmers in the region

