Gazeti la Baraza la Julai 27, 1978, Issue No. 2030
Volume Ref: BZ_1978_M006702
- Rais wa Kenya Mzee Jomo Kenyatta atarajiwa kufungua maonyesho ya ukulima mjini Mombasa na Bingwa wa dunia.
- Henry Rono kutoka Kenya ajishindia medali nyingine ya dhahabu.
See English translation.
- President Jomo Kenyatta of Kenya is expected to officially open the agricultural show in Mombasa.
- World champion Henry Rono from Kenya wins yet another gold medal.

