Gazeti la Baraza la Marchi 23, 1978, no. 2012
Volume Ref: BZ_1978_M006702
- Mbio za safari rally kuanza, waziri wa serikali za mitaa atangaza nyongeza katika mishahara ya madiwani, makamu wa rais wa Kenya, Daniel Moi achanga pesa Bomet ya kusaidia shule ya upili na tarehe ya mashindano ya kombe la Pan African Insurance Company katika mchezo wa volleyball yatangazwa.
English translation below
- The beginning of the safari rally race, the minister of local government announces an increase in the salary of councilors, the deputy president of Kenya, Daniel Moi, contributes money in Bomet for a secondary school and the start date of the Pan African Insurance Company championship in volleyball is announced.

