Newspapers

Gazeti la Baraza la Novemba 18, 1976, Issue No. 1942

Volume Ref: BZ_1976_M008564

  • Wakenya wanaoishi kwenye mpaka wa Somalia na Kenya ,hasa katika sehemu ya Kilungu wameshauriwa na mkuu wa Mkoa wa pwani Bw.Eliud Mahihu wasivuke mpaka wa Somalia bila idhini rasmi.
  • Aliwaonya pia wasomali wanaoishi mpakani wasivuke mpaka wa Kenya kwa sababu watachukuliwa kama wageni wasiotakikana nchini.

See English translation.

  • Kenyans living on the border of Somalia and Kenya,éspecially on the side of Kilungu have been advised by the head of Coastal region Mr.Eliud Mahihu not to cross the border without official permission.
  • He also advised the somali not to cross to the Kenyan border as they will be considered unwanted foreigners in the country.
error: Content is protected !!