Gazeti la Kenya leo, 1 Julai 1983 Issue No. 52
Volume Ref: KL_1983_M007833
- “Njonjo ajiuzulu ubunge.”
- “Wakulima kulipwa papo hapo-Malindi.”
- “Utafiti wa madini kufanywa Baringo.”
- “Shule za viwete kugharimu sh. 5m.”
- “Waasi wauteka mji nchini Chad.”
English translation below
- ;”Njonjo resigns from parliament. ”
- ” Farmers get be paid instantly – Malindi.”
- ” Mineral research to be done in Baringo. “
- ” Lame’s schools cost shs. 5m. “
- ” Rebels seize city in Chad.”

