Newspapers

Kenya Leo suala la 208 January 2,1984

Volume Ref: KL_1984_M008778

  • Rais Milton Obote wa Uganda amekariri tena wito wa kuwataka Waganda waliokimbilia nchi za nje warudi nchini kuijenga nchi yao. Alisema kwamba wakimbizi walioko nje hawana budi kurejea nyumbani na kuimarisha umoja na uchumi wa nchi hiyo.

English translation below

  • Uganda president Milton Obote reiterated the call for Ugandans who have fled to foreign countries to go back to their country.He said that those who fled had no choice but to go back and help in the restoration of the economy and peace in the country.
error: Content is protected !!