Newspapers

Gazeti la Taifa Weekly, Januari 11, 1975 Issue No. 1060

Volume Ref: TW_1975_M033976

  • Kusikizwa kwa malalamiko ya uchaguzi kufungamana na matokeo ya uchaguzi mkuu wa Bunge katika eneo la Embakasi kulimalizika katika mahakama ya Nairobi ambapo mawakili wa “washtakiwa” waliihimiza mahakama “iitupilie mbali kesi na gharama zote za kesi zilipwe”

English translation below

  • Hearing of election complaints to be bound by the results of the general election of the local assembly of Embakasi ended in Nairobi court where the lawyers of the “defendants” urged the court to “dismiss the case and pay all costs of the case.”
error: Content is protected !!