Newspapers

Gazeti la Taifa Weekly, Oktoba 25, 1975 Issue No. 1103

Volume Ref: TW_1975_M033976

  • Rais Mzee Jomo Kenyatta aliwatuza shahada za digrii na diploma wanafunzi zaidi ya 2,000 waliohitimu katika Chuo Kikuu cha Nairobi na papo hapo akawasisitiza wazingatie wajibu wao mkubwa wa kulitumikia taifa kwa kutangamana na wanachi pande za mashambani.

English translation below

  • President Mzee Jomo Kenyatta awarded degrees and diplomas to more than 2,000 students who graduated in The University of Nairobi and immediately urged them to focus on their great responsibility to serve the nation by interacting with the people in the countryside.
error: Content is protected !!