Kenya leo Agosti 15, 1984, Issue No. 434
Volume Ref: KL_1984_M010355
- Rais Moi aliamuru sheria ya ujenzi zilizotungwa enzi za mkoloni zifutiliwe mbali mara moja kwa sababu hazifai kwa sasa.
- Rais aliagiza Wizara ya Serikali za Wilaya ichunguze sheria zinazohusu ujenzi wa nyumba katika miji ili kutoa nafasi kwa ujenzi wa nyumba za gharama ndogo ndogo.
- Alisema kuwa sheria za mkoloni ziliwapatia wale wenye mapato ya juu na ni lazima watu wenye mapato ya chini wapatiwe nafasi ya kujijengea nyumba pia.
See English translation.
- President Moi has ordered the construction laws made during the colonial era to be canceled immediately because they are not suitable now.
- The President instructed the Ministry of District Governments to examine the laws regarding the construction of houses in cities so that they can provide space for the construction of low-cost houses.
- He said that colonial laws provided for those with high incomes and it is necessary people with low income should be given a chance to build a house as well.

