Newspapers

Kenya Leo Newspaper of April 15,1985, Issue No. 674

Volume Ref: KL_1985_M034496

  • Makanisa yasio ya kikatoliki hapa Kenya yako tayari kushiriki kwenye mipango ya matayarisho ya mkutano mkuu ujao wa kimataifa wa kanisa katoliki mradu tu kanisa katoliki lionyeshe nia ya kuendeleza umoja wa makanisa humu nchini.

English Translation

  • Non-Catholic churches in Kenya are ready participate in the preparation programs of the next international convention of the catholic church, the catholic church should show interest in to promote the unity of the churches in the country.
error: Content is protected !!