Kenya Leo Newspaper of April 17,1985, Issue No. 676
Volume Ref: KL_1985_M034496
- Rais Moi alitangaza kwamba mipango ya kuanzishwa kwa kituo cha matibabu ya maradhi ya moyo katika Kenyatta National Hospital.
- Rais pia amaesema kwamba ni sawa watu kuiga mawazo bora na hali nzuri ya maisha kutoka kwa utamaduni wa makundi mengine.
English Translation
- President Moi announced that plans for the establishment of a heart disease medical center in Kenyatta National Hospital.
- The president has also said that it is okay for people to emulate better ideas and good living conditions from the culture of other groups.
