Kenya Leo Newspaper of April 23,1985, Issue No. 682
Volume Ref: KL_1985_M034496
- Rais Moi asema shule ambazo zimejengwa na wananchi wenyewe lazima ziruhusiwe kutoa kiasi cha asilimia 85 cha nafasi za kidato cha tano kwa wanafunzi wanaotoka eneo hilo.
- Rais alisema mpango huu unahimiza moyo wa Harambee na shule zaidi zijengwe kutoa nafasi kwa wanafunzi kwa sababu serikali haiwezi kujenga tena shule mpya zaidi.
English Translation
- President Moi says schools built by the citizens themselves must be allowed to give an amount of 85% of Form Five vacancies for students from the area.
- The president said the initiative encourages the heart of Harambee and more schools should be built to provide space for students because the government cannot rebuild the new school.
