Kenya Leo Newspaper of April 25,1985, Issue No. 684
Volume Ref: KL_1985_M034496
- Matibabu ya mitishamba kwa magonjwa mbalimbali hayatofautiani kamwe na yale ambayo kutolewa kwa njia ya kisasa, isitoshe matibabu haya ya magonjwa kwa kutumia mitishamba huwa yanaponya haraka kwa sababu dawa zinazotumiwa huwa zenye nguvu za kiasili.
English Translation
- Herbal remedies for various ailments do not differ with what is delivered in a modern way, countless these treatments for diseases by using herbs tend to heal faster for a reason because drugs used are naturally powerful.
