Kenya Leo Newspaper of April 27,1985, Issue No. 686 - Nairobi Libraries Archive
Newspapers

Kenya Leo Newspaper of April 27,1985, Issue No. 686

Volume Ref: KL_1985_M034496

  • Mwalimu katika Chuo kikuu cha Nairobi ashtakiwa kwa uhaini kwa kutamka maneno yanayo daiwa yalikuwa na nia ya kuipinga Serikali. Musa Otieno Adongo, alitamka maneno kwamba hakuna Serikali nchini Kenya.

English Translation

  • Lecturer at the University of Nairobi is charged with treason for uttering the words allegedly were intent on opposing the Government. Musa Otieno Adongo, he uttered words that there is no government in Kenya.
error: Content is protected !!