Newspapers

Kenya Leo Newspaper of June 13,1985, Issue No. 733

Volume Ref: KL_1985_M034496

  • Baraza la mji wa Malindi linakabiliwa na uhaba wa wafanyakazi ,jambo ambalo linafanya baadhi ya huduma zake zisiweze kutolewa kikamilifu. Idara kadha za baraza hilo zimekabiliwa na upungufu huo wa wafanyakazi wenye ujuzi, hasa idara ya uhandisi ambayo kazi yake kubwa ni kudumisha usafi mjini humo.

English Translation

  • Malindi town council is facing a shortage of staff, which makes some of its services not fully delivered. Several council departments have faced a shortage of skilled staff, especially an engineering department whose main function is to maintain cleanliness in the city.
error: Content is protected !!