Newspapers

Kenya Leo Newspaper of June 14,1985, Issue No. 734

Volume Ref: KL_1985_M034496

  • Kulingana na hotuba ya bajeti iliyosomwa bungeni na Waziri wa Fedha na Mipango, Profesa George Saitoti, bei ya sigara na bia zitapanda. Hata hivyo kwenye hotuba haikuongeza bei za bidhaa muhimu zinazotumiwa na wananchi wa kawaida.
  • Kulingana na bajeti hiyo ambayo inapendelea mwanachi wa kawaida , bei ya sigara imeongezeka kwa kati ya senti 50 na 2.50 kwa pakiti moja kulingana na aina ya sigara.

English Translation

  • According to the speech of the budget read in parliament by the Minister of Finance and Planning, Professor George Saitoti, prices of cigarettes and beer are to rise. However in the speech it did not increase the prices of essential commodities used by ordinary citizens.
  • According to that budget which favors the average citizen, the price of cigarettes has increased by between 50 and 2.50 cents per pack depending on the type of cigarette.
error: Content is protected !!