Kenya Leo Newspaper of June 26,1985, Issue No. 746
Volume Ref: KL_1985_M034496
- Rais Moi asema kwamba chama kinachotawala cha KANU hakitakubali malalamiko yoyote kutoka kwa wagombea uchaguzi ambao wamekataliwa katika uchaguzi wa matawi madogo, hata kama wao ni Wabunge.
English Translation
- President Moi states that the ruling party of KANU will not accept any complaints from election candidates who they have been rejected in the election of smaller branches even if they are Members of Parliament.

