Kenya Leo Newspaper of May 09,1985, Issue No. 698
Volume Ref: KL_1985_M034496
- Rais Moi asema kwamba atatangaza tarehe ya uchaguzi wa KANU wakati wowote baada ya sherehe za kuadhimisha Madaraka dei , ili kuhakikisha kwamba shughuli za uchaguzi huo zinahitimizwa katika njia inayofaa.
English Translation
- President Moi says he will announce the date of the election for KANU, anytime time after the Madaraka day celebrations to ensure that the election activities are completed in a timely manner..

