Kenya Leo Newspaper of May 18,1985, Issue No. 707 - Nairobi Libraries Archive
Newspapers

Kenya Leo Newspaper of May 18,1985, Issue No. 707

Volume Ref: KL_1985_M034496

  • Rais Moi alisema amefadhaishwa na jinsi polisi wa traffic walivyoyanasa magari ya uchukuzi, jambo ambalo alisema liliwasababishia mateso watoto wa shule na wasafiri wengine mjini Nairobi.
  • Akieleza vitembo hivyo kuwa vya kinyama ambavyo haviambatani na maongozi ya Nyayo, Rais Moi alisema hatua kama hiyo inapochukuliwa alazima zitawatatiza wanachi na akasema maafisa waliopewa jukumu la kutekeleza maagizo ya serikali wanapaswa kutumia busara.

English Translation

  • Motor Vehicle Owners’ Association in the Nyahururu branch with 400 members, has set up its own inspection department in an effort to combat faulty vehicles.
  • According to information provided by the party’s treasurer Mr. Yusuf Mahindu, the department will ensure that all of your members’ vehicles are in technical condition before leaving the facilities.
error: Content is protected !!