Kenya Leo suala la 218 Januari 12,1984
Volume Ref: KL_1984_M008778
- Rais Moi asema bei za mazao ya kilimo hutegemea sana na masoko ya ulimwengu na mabadiliko ya bei za mazao ya kilimo kama vile Korosho, Kahawa na majani chai. Alisema kwamba serikali ya Australia itasaidia katika utoaji wa huduma thabiti katika mpango wa makao wa Magarini, Malindi .Aliwahimiza wale waliopatiwa mashamba katika mpango huo wafanye kazi kwa bidii ili wazalishe chakula cha kutosha.
English translation below
- President Moi says the prices of agricultural products mostly depend on the world markets and price changes in products like Cashew, Coffee and tea leaves. He said the Australian government would help in consistent service delivery in housing plan of Magarini, Malindi Kilifi district . He encouraged those who were given land in that plan to work hard to produce enough food.

