Newspapers

Kenya Leo suala la 224 Januari 18,1984

Volume Ref: KL_1984_M008778

  • Rais Moi aitaka kampuni ya Lands ambayo ni kampuni ndogo ya shirika la maendeleo ya kilimo,ADC ,ifutilie mbali deni la shs.1,778,265.15 inalodai kampuni ya wakulima ya Nakuru Mutukanio ,ambalo lilitokana na kukodishwa kwa mashamba yake katika sehemu ya Mau Narok.

English translation below

  • President Moi wants Lands company which is a subsidiary of an agricultural development agency ADC ,to cancel the shs.1,778,265.15 debt owed to the farmers’ company of Nakuru Mutukanio which resulted from the lease of his farms in part of Mau Narok.
error: Content is protected !!