Newspapers

Kenya Leo suala la 236 Januari 30,1984

Volume Ref: KL_1984_M008778

  • Shirika la taifa la kusimamia ubora wa bidhaa limeitaka tume inayosimamia mji wa Nairobi ieleze kwa nini rangi ya maji yanayotolewa na tume hiyo kwa wakazi wa mji imebadilika katika siku kadhaa zilizopita na kusababisha malalamiko mengi.

English translation below

  • National product quality management organization has asked for a commission overseeing the city of Nairobi explain why the water color provided by the commission to the city’s population has changed over the past few days and has caused many complaint.
error: Content is protected !!