Kenya Leo suala la 239 Februari 2,1984 - Nairobi Libraries Archive
Newspapers

Kenya Leo suala la 239 Februari 2,1984

Volume Ref: KL_1984_M008778

  • Wakili wa Bw.Charles Njonjo ,Bw .W. S. Deverell ,apinga kutumiwa kwa mahojiano ya Rais wa usheliseli , Bw. Albert Rene , yaliyochapishwa katika kitabu rasmi cha maongozi ya serikali ya nchi hiyo , yakidai kwamba Bw.Njonjo alishiriki katika kupanga njama za mapinduzi ya nchi hiyo, hadi atakapopata nafasi ya kuyasoma mahojiano hayo.

English translation below

  • Advocate for Mr. Charles Njonjo Mr .W. S. Deverell opposes the use of interviews of the president of Seychelles Mr.Albert Rene ,published in the official guide to the country’s government claiming that Mr Njonjo he participated in the plot of the revolution of that country ,until when he gets a chance to read the interview.
error: Content is protected !!