Kenya Leo suala la 244 Februari 7,1984
Volume Ref: KL_1984_M008778
- Uamuzi wa kumuondoa waziri mdogo wa mashauri ya nchi za kigeni , Profesa Paul Sumbi kutoka kiti chake cha bunge cha Makueni kwa sababu za kukosa kuhudhuria kikao cha bunge kwa siku nane mfululizo wazuiliwa.
English translation below
- The decision to remove the junior minister for devolution Prof. Paul Sumbi from his parliamentary seat of Makueni for reasons of non-attendance of parliamentary sessions for eight consecutive days has been detained

