Kenya Leo suala la 247 Februari 10,1984 - Nairobi Libraries Archive
Newspapers

Kenya Leo suala la 247 Februari 10,1984

Volume Ref: KL_1984_M008778

  • Rais Moi alitaka Benki ya Dunia iondolee mbali masharti makali ya mikopo yake inayopewa mchi zinazostawi kama Kenya .Akizungumza Rais alipongeza ushirikiano uliopo kati ya Kenya na benki hiyo na akaishukuru kwa kuendelea kuisaidia Kenya katika mipango ya maendeleo ya uchumi.

English translation below

  • President Moi wants the World Bank to remove the strict conditions for its loans to developing countries like Kenya.Speaking the President commended the cooperation that exists between Kenya and The World Bank and thanked it for continuing to support Kenya in the plans of economic development.
error: Content is protected !!