Kenya Leo suala la 248 Februari 11,1984
Volume Ref: KL_1984_M008778
- Rais Moi amewaamuru wabunge wote wajiunge na viongozi wengine katika wilaya zao kuanzisha kampeni mahsusi za kukabiliana na mmonyoko wa udongo kabla ya msimu wa mvua kuwadia.Alitoa agizo hilo wakati alipowaongoza wananchi katika shughuli za ujenzi wa kuta na mitaro ya kuzuia mmonyoko wa udongo sehemu ya Cheramon ,Baringo ya kati.
English translation below
- President Moi has ordered all lawmakers to join other leaders in their districts to set up specific coping campaigns to prevent soil erosion before the start of the rainy season. He issued the order while leading the people in the construction activities of walls and block ditches to prevent soil erosion at Cheramon ,Baringo central.

