Kenya Leo suala la 252 Februari 15,1984
Volume Ref: KL_1984_M008778
- Serikali inadhamiria kuhakikisha kwamba raia wake wako katika hali nzuri ya afya na ni kwa sababu hii ambapo inatumia kiasi kikubwa cha pesa kuimarisha huduma za afya katika sehemu za mashambani.
English translation below
- The government is committed to ensuring that its citizens are in good health and it is for this reason that it spends large sums of money strengthening services health facilities in rural areas.

