Kenya Leo suala la 254 Februari 17,1984
Volume Ref: KL_1984_M008778
- Waziri wa Afya Bw.Kaberere M’Mbijjewe ,ameiamuru baraza kuu la madaktari nchini lipunguze ada zinazotozwa na madaktari wenye hospitali zao binafsi kwa sababu ada hizo ni za juu sana kwa wakati huu.
English translation below
- Minister for Health Mr.Kabeere M’Mbijjewe has ordered the country’s top medical council to reduce fees charged by doctors with their own private hospitals because those fees are very high at this time.

