Newspapers

Kenya Leo suala la 257 Februari 20,1984

Volume Ref: KL_1984_M008778

  • Kenya Leo suala la 257 Februari 20,1984 Anayeshikilia madaraka ya muda ya mwandishi mkuu wa chama kikuu cha wafanyakazi(COTU) Bw. Justus Mulei ameonywa aache kuwatisha wafanya kazi wa chama hicho amabao walijiandikisha kuwa wanachama wa chama cha wafanya kazi wa mashirika ya kujitolea ,vyama vya wafanyi kazi na mashirika mengine.

English translation below

  • 20,1984The holder of the temporary position of chief secretary of Central Organization of Trade Unions(COTU) Mr. Justus Mulei he has been warned to stop intimidating party workers who have registered as members of the trade union of volunteer organizations,, trade unions and other organizations.
error: Content is protected !!